Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upepo
ni mwendo wa
hewa
. Husababishwa na
joto
la
jua
. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.
Kwa
lugha
ya
metorolojia
kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo la juu la hewa kwa eneo lenye shindikizo duni la hewa.
Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa
dhoruba
. Ikizunguka ndani yake ni
tufani
, na tufani ikianza
baharini
ni
kimbunga
.
Nguvu
ya upepo ilitumiwa na
binadamu
tangu
karne
nyingi kwa njia ya
teknolojia
mbalimbali kama vile
Tangu
karne ya 20
nguvu ya upepo imetumiwa pia kutengeneza
umeme
. Katika
karne ya 21
umeme wa upepo
umeanza kuwa chanzo muhimu wa
nishati
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
sayansi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Upepo
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|