Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unyafuzi
|
---|
Mwainisho na taarifa za nje
|
Specialty
| Endocrinology
![Edit this on Wikidata](//upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8a/OOjs_UI_icon_edit-ltr-progressive.svg/10px-OOjs_UI_icon_edit-ltr-progressive.svg.png) |
---|
Unyafuzi
,
chirwa
au
kwashakoo
ni aina kali ya
utapiamlo
inayosababishwa na ukosefu wa
protini
ya kutosha katika
chakula
.
Dalili
ya unyafuzi ni upungufu wa
uzito
, kuchoka sana, na
uvimbe
wa
tumbo
.
Maana kwa kuzuia unyafuzi ni kula vyakula viliyo na
protini
, kwa mfano:
Nyama
za aina mbalimbali (
ng'ombe
,
kuku
,
mbuzi
,
samaki
,
maini
na kadhalika),
maharagwe
,
maziwa
, na
mayai
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
tiba
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Unyafuzi
kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|