Uhuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhuru (kwa Kiingereza freedom ) ni hali ya kuweza kufanya mambo bila kuingiliwa na yeyote au hali yoyote.

Unaweza kumhusu mtu binafsi hadi nchi nzima.

Uhuru humwezesha mtu kujitawala kiakili, kidini na kimaadili.

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]