Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ugonjwa wa Corona
ulifika
Kenya
mwezi Machi
2020
. Watu wa kwanza waligunduliwa kwenye
kaunti
za
Nairobi
na
Kajiado
.
Shauri kutoka Wizara wa Afya ya Kenya
[1]
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Wizara wa Afya ya Kenya imeandika habari ya virusii ya Corona.
- Ugonjwa wa virusii ya corona ni mgonjwa mpya inaenezwa mbiombio
- Virusii ya corona inapatikana kutoka tone la mtu ana kikohozi, au kutoka vitu vimenajisi
- Dalili ya virusii ya corona ni homa, kikohozi, kuumwa kichwa, kuumwa mwili na kupumwa na shida
- Kuzuia ugonjwa wa virusii ya corona
- Safisha mikono na sabuni na maji, au na usafisho ina ugimbi
- Kaa mbali na mtu mwenye dalili ya mafua
- Usi peana mkono, usihike, na usinonea mtu ana dalili ya mafua
- Usitoke nyumbani na usisafiri ukiwa na dalili ya mafua
- Virusii ikidundua mapema, na mtu akipata matibabu mapema ana nafasi kubwa wa kupona
- Virusii mpya ya corona haiwezi kupatikana kutoka hewa
Ushauri huu inafanana ushauri wa Shirika za Afya Duniani (WHO)
[2]
. Kusoma tafsiri ya ushauri wa tabia nzuri wa Shirika za Afya Duniani kwa Kiswahili angalia
ukurasa wa ushauri wa ugonjwa wa Corona ya Shirika la Afya Duniani
.
|
Makala hii kuhusu
"Ugonjwa wa corona Kenya 2020"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|