Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1852
ulikuwa wa 17 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "
Democratic Party
",
Franklin Pierce
(pamoja na kaimu wake
William R. King
) alimshinda mgombea wa "Whig Party"
Winfield Scott
(pamoja na kaimu wake
William A. Graham
).
Pierce akapata kura 254 na Scott 42. Ramani yaonyesha kura kwa kila
jimbo
.