Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchaguzi mkuu
ni ule unaofanyika kuchagua kwa
kura
wote au walau wengi sana kati ya wajumbe wa
kundi
fulani, hasa
bunge
la nchi.
Uchaguzi
wa namna hiyo kwa kawaida unafanyika kila baada ya
muda
fulani, tofauti na
uchaguzi mdogo
ambapo anachaguliwa mmoja au wachache kutokana na dharura iliyotokea
[1]
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Uchaguzi mkuu
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|