Tunceli (Kizazaki na Kikurdi : Dersim ) ni jina la kutaja mji mkuu wa Mkoa wa Tunceli huko nchini Uturuki . Mji wa Tunceli una wakazi takriban 25,041 (sensa ya mwaka 2000) na idadi kubwa ya wakazi wa mjini hapa san-sana ni Wazaza na Wakurdi].