Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timu ya soka ya taifa ya Ujerumani
ni
timu
ya
soka
au
mpira wa miguu
ambayo imewakilisha
Ujerumani
katika mashindano ya kimataifa tangu
mwaka
1908
.
Timu hii inaongozwa na
Chama cha Soka cha Ujerumani
, kilianzishwa rasmi mwaka
1900
. Mwishoni mwa
Kombe la Dunia la FIFA
la mwaka
2014
, Ujerumani ilipata kiwango cha juu zaidi cha Elo cha timu yoyote ya soka ya kitaifa katika historia na pointi
2205
.
Ujerumani pia ni
taifa
pekee la
Ulaya
ambalo lilishinda Kombe la Dunia la FIFA katika
Amerika
.
Meneja
wa timu ya taifa ya Ujerumani ni
Joachim Low
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: