Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thuringia
(
Kijerumani
: Thuringen
) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya
Ujerumani
lenye wakazi milioni 2,251 kwenye eneo la 16.172 km². Mji mkuu ni
Erfurt
. Waziri mkuu ni
Bodo Ramelow
(
Die Linke
).
Thuringia imepakana na majimbo ya Ujerumani ya
Saksonia Chini
,
Saksonia-Anhalt
,
Saksonia
,
Bavaria
na
Hesse
.
Miji mikubwa ni pamoja na
Erfurt
,
Jena
na
Weimar
.
Saale
na
Werra
ni mito muhimu zaidi.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ujerumani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Thuringia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|