Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tenzi za Bikira Maria
ni
kundi
la
tenzi
zinazolenga hasa
kumheshimu
Bikira Maria
katika
Ukristo wa Mashariki
na
Ukristo wa Magharibi
, isipokuwa
Waprotestanti
wengi.
Zinatumika ndani na nje ya
liturujia
.
Kati ya hizo zote unajitokeza
wimbo wa Bikira Maria
unaopatikana katika
Injili ya Luka
1:46-55.
- The greatest Marian prayers: their history, meaning, and usage
by Anthony M. Buono 1999
ISBN 0-8189-0861-0
- Head, Karen, and Collin Kelley, eds.
Mother Mary Comes to Me. A Popculture Poetry Anthology
(Lake Dallas, TX: Madville, 2020).