Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tasnia
Tasnia
(kutoka
Kiarabu
: ?????, kwa
Kiingereza
:
industry
,
manufacturing
) ni
neno
la kutaja
matawi
mbalimbali ya
uchumi
wa nchi ambako
bidhaa
zinatengenezwa au
huduma
kutolewa.
Kiasili tasnia ilimaanisha hasa shughuli ambako
watu
wanashirikiana kuzalisha
bidhaa
wakibadilisha
malighafi
kuwa
vitu
vinavyotumika na
binadamu
, kwa hiyo shughuli za sekta ya pili ya uchumi pamoja na
sekta ya viwanda
.
Matumizi ya
istilahi
imepanuka kufuatana na Kiingereza "industry"
[1]
kumaanisha pia utoaji wa malighafi (sekta ya msingi) na huduma (sekta ya tatu ya uchumi).
Tasnia ya kisasa hutegemea mgawanyo wa kazi na usanifishaji wa kazi.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Tasnia
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|