Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utajiri
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni
wingi
wa
vitu
vya
thamani
na wa
vyanzo
vya
mapato
ambavyo nchi au mtu
wanamiliki
.
[1]
Ingawa kimsingi ni suala la
uchumi
, unahusika sana na
maadili
, kwa kuwa mali zinaweza kutumika vizuri au vibaya, hasa upande wa
haki
za watu wengine, ambao pia wanahitaji kiasi fulani cha vitu ili kuishi.
[2]
[3]
Umoja wa Mataifa
umepitisha kauli ya
Kiingereza
inclusive wealth
kwa kujumlisha humo hata mambo yenye faida ambayo ni ya ki
uasilia
(kama vile
ardhi
na vyote vilivyomo), ya ki
binadamu
(watu pamoja na elimu, vipawa n.k. walivyonavyo) n.k. (k.mf.
miundombinu
:
mashine
, ma
jengo
n.k.)
[4]
[5]
Karibu 90% za mali duniani zimo mikononi mwa wakazi wa
Amerika Kaskazini
,
Ulaya
na
nchi tajiri
za
Asia
na
Australia
(si
India
).
[6]
Mwaka
2008
, 1% ya watu wazima walikadiriwa kumiliki 40% za utajiri wote duniani.
[7]
Kumbe mwaka
2013
, 1% hiyohiyo ilikadiriwa kumiliki 46%.
[8]
[9]
Kwa sasa, nchi tajiri zaidi duniani katika suala la
pato la taifa
kwa kila mtu ni
Marekani
.
Tangu mwaka
2011
,
China
ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.
[10]
Mwaka 2013
Qatar
ilikuwa nchi tajiri zaidi duniani kwa
kigezo
cha
wastani
wa mapato ya wakazi.
[11]
Utafiti juu ya uhusiano wa utajiri na
dini
umeonyesha kwamba kwa kawaida kadiri nchi ilivyo tajiri wakazi wake hawajali dini.
[12]
Pamoja na hayo,
Wakristo
ni matajiri kuliko wafuasi wa dini nyingine zote, wakimiliki 55% za mali zote duniani.
[13]
- ↑
Denis "Authentic Development: Is it Sustainable?", pp. 189-205 in
Building Sustainable Societies
, Dennis Pirages, ed.,
M. E. Sharpe
,
ISBN 1-56324-738-0
,
ISBN 978-1-56324-738-5
. (1996)
- ↑
Kronman, Anthony T. (Machi 1980).
"Wealth Maximization as a Normative Principle"
.
9
.
The Journal of Legal Studies
.
doi
:
10.1086/467637
.
CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
Robert L. Heilbroner
, 1987 [
2008
.
The New Palgrave: A Dictionary of Economics
, v. 4, pp. 880-83. Brief preview
link
.
- ↑
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
"Inclusive Wealth Report - IHDP"
. Ihdp.unu.edu. Julai 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2012-06-30
. Iliwekwa mnamo
Julai 14,
2012
.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
James B. Davies, Susanna Sandstrom, Anthony Shorrocks, and Edward N. Wolff. (2008).
The World Distribution of Household Wealth, p8
. UNU-WIDER.
- ↑
James B. Davies, Susanna Sandstrom, Anthony Shorrocks, and Edward N. Wolff. (2008).
The World Distribution of Household Wealth
. UNU-WIDER.
- ↑
"Global Wealth Report 2013"
. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2015-02-14
. Iliwekwa mnamo
2016-02-03
.
- ↑
"Tax on the "private" billions now stashed away in havens enough to end extreme world poverty twice over"
.
Oxfam International
. Mei 22, 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2015-12-23
. Iliwekwa mnamo
2016-02-03
.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
"China's economy is now the world's second largest"
. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2022-01-24
. Iliwekwa mnamo
2022-01-24
.
- ↑
Persian Gulf 2013: India's Relations With the Region - Page 171, P.R. Kumaraswamy - 2014
- ↑
Survey Reports.
"World Publics Welcome Global Trade ? But Not Immigration | Pew Global Attitudes Project"
. Pewglobal.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2010-01-12
. Iliwekwa mnamo
2011-10-21
.
- ↑
"Christians hold largest percentage of global wealth: Report"
. deccanherald.com. 2015-01-14.