Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tabia
(au
mwenendo
) inaweza kuwa na maana ya
vitu
viwili vinavyohusiana.
Kimsingi inamaanisha: kile ambacho
mtu
,
mnyama
au
mmea
hupenda kufanya kama kwa
silika
. Lakini
binadamu
anaweza kujijengea tabia kwa
utashi
wake.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
biolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Tabia
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|