Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Szczecin, Polandi
Szczecin
(kwa
lugha
ya
Kipolandi
; kwa
Kijerumani
:
Stettin
) ni
mji
wa saba nchini
Polandi
kwa wingi wa watu na una
bandari
katika
Bahari ya Baltiki
.
Mji huo ulikuwa na wakazi 403,274 mnamo
Juni
2018
.
WikiMedia Commons
53°25′57″N
14°32′53″E
/
53.43250°N 14.54806°E
/
53.43250; 14.54806
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Poland
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Szczecin
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|