Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Symphony No. 5 in C minor,
Op.
67
ni
simfoni
iliyotungwa na
mtunzi
wa
Opera
kutoka nchini
Ujerumani
,
Ludwig van Beethoven
. Hii ni simfoni ya 5 katika simfoni zake tisa. Ilitungwa kati ya 1804 na 1808. Hii ni moja kati ya simfoni maarufu zaidi katika kazi za
muziki wa classical
.
Simfoni ina miendo au mitindo minne: ya kufungulia
sonata allegro
, ya polepole
andante
, ya haraka
scherzo
ambayo hii inaongoza hadi mwisho wa simfoni.
Kwa mara ya kwanza simfoni hii ilitumbuizwa mjini
Vienna
katika tamasha lililofanyika katika ukumbi wa
Theater an der Wien
mnamo 1808. Simfoni yake
Namba Sita
nayo pia ilitumbuizwa kwa mara ya kwanza katika tamasha hilo. Tangu hapo Simfoni Na. 5 ikawa moja kati ya kazi za muziki wa classical unaojulikana kupita maelezo.
Tumbuizo la kawaida la simfoni hii ni kati ya dakika 30?40 hivi. Kazi hii ipo katika miendo minne:
- Allegro con brio (C minor)
- Andante con moto (A♭ major)
- Scherzo: Allegro (C minor)
- Allegro (C major)
Muundo wa kwanza: Allegro con brio
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Muundo wa pili: Andante con moto
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Muundo wa tatu: Scherzo. Allegro
[
hariri
|
hariri chanzo
]
[1]
- ↑
Romano, Stefan (Winter 2009). "Ending the Fifth".
The Beethoven Journal
24
(2): 56?71.