Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina ya
supu
kutoka
China
.
Supu
(kutoka
Kiingereza
"soup") ni
kimiminika
kitamu
kilichochanganywa na
nyama
au
tambi
,
mboga
za ma
jani
n.k.
Katika supu baadhi ya
watu
huweka
karoti
,
limao
, wengine huweka
pilipili
na pia watu hulia na
chapati
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Supu
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|