Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Solomoni III katika
mchoro wa ukutani
.
Solomoni III wa Bretagne
(kwa
Kibretoni
:
Salaun
; alifariki
Bretagne
, leo nchini
Ufaransa
,
25 Juni
874
) alikuwa
mfalme
wa
Bretagne
kuanzia
mwaka
857
.
Ili kufidia
uuaji
wa
ndugu
yake alioufanya
kanisani
ili kujitwalia
madaraka
alijitahidi sana kuanzisha
majimbo
na
monasteri
na kudumisha
haki
.
Hatimaye alipofushwa na kuuawa na
maadui
wake kanisani vilevile
[1]
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
[2]
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
ya
kifodini
chake
[3]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|