Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Snow White and the Seven Dwarfs
(kwa
Kiswahili
:
Mweupe Theluji na Vibete Saba
) ni
filamu
ya
katuni
ya
mwaka
wa
1937
kutoka
Marekani
iliyotokana na
ngano
za kale ya
akina Grimm
,
Mweupe Theluji
. Ilikuwa filamu ya kwanza kuwa na kipengele kirefu katika historia ya filamu za katuni, vilevile kuwa kama filamu ya kwanza ya katuni kutayarishwa nchini Marekani, ya kwanza kutayarishwa kuwa na rangi kamili, yaani, mwanzo hadi mwisho, ya kwanza kutayarishwa na
Walt Disney
, na ni ya kwanza katika mfululizo wa filamu za katuni za Disney -
Walt Disney Animated Classics
.
[2]
Snow White
ya Walt Disney ilianza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa
Carthay Circle Theatre
mnamo
tarehe
21 Desemba
1937
, na filamu ilitolewa katika makumbi mengine na
RKO Radio Pictures
mnamo tar.
4 Februari
1938
. Hadithi hii imechezwa na Dorothy Ann Blank, Richard Creedon,
Merrill De Maris
, Otto Englander,
Earl Hurd
, Dick Rickard,
Ted Sears
na Webb Smith kutoka katika ngano za kale za Kijerumani
Snow White
ya
Brothers Grimm
. David Hand alikuwa mwongoza na msimamizi wa kazi hii, wakati William Cottrell,
Wilfred Jackson
, Larry Morey, Perce Pearce, na
Ben Sharpsteen
waliongoza vipengele kimoja baada ya kingine cha filamu.
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Snow White and the Seven Dwarfs (filamu ya 1937)
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|