Sinop ( Kigiriki : Σιν?πη au Sinope) ni jina la mji uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko kaskazini mwa nchi ya Uturuki . Mji una wakazi wapatao 47,000. Mji huu kihistoria unajulikana kama Sinope . Pia, huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Sinop .