Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Ulama, Sinaloa
Bendera ya Sinaloa
Mahali pa Sinaloa katika
Mexiko
Sinaloa
ni moja kati ya majimbo 31 ya
Mexiko
upande wa magharibi ya nchi. Upande wa magharibi ni
Ghuba ya California
(au Bahari ya Cortez). Imepakana
Sonora
,
Chihuahua
,
Durango
na
Nayarit
.
Mji mkuu na mji mkubwa ni
Culiacan
. Jimbo lina wakazi wapatao 2,208,652 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 58,238.
Utalii
na kilimo huajiri watu wengi.
Gavana wa jimbo ni
Jesus Aguilar Padilla
.
Lugha rasmi ni
Kihispania
.
- Culiacan
(793,703)
- Los Mochis
(451,977)
- Mazatlan
(352,471)
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Mexiko
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Sinaloa
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|