Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Silla
(57 KK ? 935 BK) (Tamka ?illa) ilikuwa moja kati ya
Falme Tatu za Korea
, na moja kati ya nasaba iliokaa kwa muda mrefu sana katika historia ya Asia. Japokuwa ilianzishwa na Mfalme
Park Hyeokgeose
, ambaye anafahamika kama mwanzilishi wa famili ya Kikorea yenye jina la Park (朴, 朴). Ukoo huu ulishikiria madaraka kwa takriban miaka yake 992 katika historia. Imeanza kama mtemi wa falme ndogo huko
Samhan
, pindi ilipoungana na
China
, Silla hatimaye ikaishinda falme mbili,
Baekje
mnamo 660 na
Goguryeo
mnamo 668. Baada ya hapo, ikawa
Muungano wa Silla
au
Silla ya Baadaye
, kama jinsi inavyotajwa mara nyingi kwa kuchukua sehemu ya
Peninsula ya Korea
, wakati sehemu ya kaskazini imeungana kama
Balhae
, nchi iliokuja kurithiwa na
Goguryeo
. Baada ya karibuni miaka 1000 ya utawala, Silla ikajivua kidogo na kuwa
Falme Tatu za Baadaye
, na kukabidhi mamlaka yake kwa mrithi wake wa nasaba ya
Goryeo
mnamo 935.
[1]
- ↑
http://www.shilla.or.kr/shilla_culture/
Archived
21 Machi 2008 at the
Wayback Machine
. Retrieved on 2008-03-08
Wikimedia Commons ina media kuhusu: