Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shamu
(kwa
Kiarabu
??? "sham" - kifupi cha ???? ?????, "bilad ash-sham") ni
jina
la eneo la
kihistoria
katika
Mashariki ya Kati
inayokaliwa leo hii na nchi za
Syria
,
Lebanon
,
Palestina
,
Israel
na
Jordan
.
Mipaka ya kijiografia ilikuwa
mto Frati
na
milima
ya
Anatolia
upande wa
kaskazini
,
Bahari
ya
Mediteranea
upande wa
magharibi
,
Misri
upande wa
kusini
na
jangwa
la
Uarabuni
upande wa
mashariki
.
Ni pia jina la kienyeji la
mji
wa
Dameski
linalotumiwa mara nyingi nchini Syria.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Shamu
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|