Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ushahidi
(pia:
ushuhuda
; kutoka
neno
la
Kiarabu
; kwa
Kiingereza
:
testimony
) ni
kitu
au maelezo yanayotolewa aghalabu kwenye vyombo vya sheria, kwa mfano
mahakamani
, ili kuthibitisha kuona au kusikia jambo fulani lililotokea.
Katika
dini
ni maneno na matendo ya kuthibitisha
ukweli
wa
imani
fulani.
Kilele
cha ushahidi kinaweza kuwa
kifodini
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ushahidi
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|