Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Serapioni wa Aleksandria
(alifariki
212
hivi) alikuwa
Mkristo
wa
Misri
aliyechomwa
moto
kwa ajili ya
imani
yake kwa
amri
ya
gavana
Akwila wakati wa
dhuluma
ya
kaisari
Septimius Severus
[1]
.
Anaheshimiwa na
Kanisa Katoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
mfiadini
.
Sikukuu
yake inaadhimishwa kila
mwaka
tarehe
13 Julai
[2]
[3]
.
Mwingine mwenye
jina
hilohilo (alifariki
248
hivi) alikuwa
Mkristo
wa
Misri
aliyeteswa vikali sana kwa kuvunjwa viungo vyote vya mwili kabla ya kurushwa kutoka
ghorofani
kwa ajili ya
imani
yake wakati wa
dhuluma
ya
kaisari
Decius
[4]
.
Anaheshimiwa na
Kanisa Katoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
mfiadini
.
Sikukuu
yake inaadhimishwa kila
mwaka
tarehe
20 Februari
[5]
[6]
au
14 Novemba
[7]
.
Mwingine tena mwenye jina hilo alifia
Ukristo
kwa kutoswa
baharini
pamoja na
Kronide na Leonsi
ndugu
yake wakati wa dhuluma ya
kaisari Maximian
(mwishoni mwa
karne ya 3
).
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe
12 Septemba
[8]
[9]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|