Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Schleswig-Holstein
ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya
Ujerumani
lenye wakazi milioni 2,8 kwenye eneo la 15,763 km². Mji mkuu ni
Kiel
. Waziri mkuu ni
Torsten Albig
(
SPD
).
Schleswig-Holstein ni sehemu ya kaskazini kabisa ya Ujerumani ikipakana na
Denmark
upande wa kaskazini. Kwa kusini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya
Mecklenburg-Pomerini
,
Saksonia ya chini
na
Hamburg
. Upande wa magharibi kuna pwani la
Bahari ya Kaskazini
lenye visiwa vingi na upande wa mashariki iko pwani la
Bahari Baltiki
.
Miji mikubwa ni pamoja na
Kiel
na
Lubeck
.
Elbe
na
Eider
ni mito muhimu zaidi.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ujerumani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Schleswig-Holstein
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|