Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
San Salvador
ni
mji mkuu
wa
El Salvador
katika
Amerika ya Kati
pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi 485,847 (
2001
) ambao ni theluthi moja wa watu wote nchini.
Jina la mji lamaanisha "Mtakatifu Mwokozi" kwa
Kihispania
likimaanisha
Yesu Kristo
.
San Salvador iko kwenye kimo cha
m
668
juu ya UB
. Imeathiriwa mara kwa mara na
mitetemeko ya ardhi
.
Mji ulianzishwa mwaka 1528 na
conquistador
M
hispania
Gonzalo de Alvarado
.
1824 baada ya uasi wa koloni za Hispania katika Amerika ya Kati ulikuwa mji mkuu wa
shirikisho la Amerika ya Kati
. Baada ya kuachana kwa umoja hu ulikuwa mji mkuu wa El Salvador tangu
1841
.
Categorie:Miji Mikuu Amerika