Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samora Moises Machel
(
29 Septemba
1933
–
19 Oktoba
1986
) alikuwa
mwanamapinduzi
, kiongozi wa kijeshi na
mwanasiasa
wa
Msumbiji
. Baada ya miaka ya
vita
ya kupigania
uhuru
wa nchi kutoka
Ureno
, alihudumu kama
Rais
wa kwanza wa Msumbiji kutoka uhuru wa nchi hiyo mnamo
1975
.
Machel alikufa
madarakani
mnamo 1986 wakati
ndege
yake ilianguka karibu na mpaka wa
Msumbiji
-
Afrika Kusini
.
|
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Samora Machel
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|