Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Salvador, Bahia
Salvador
ni jina la mji mkuu wa jimbo la
Bahia
katika
Brazil
. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 8 kutoka
juu ya usawa wa bahari
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Brazil
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Salvador, Bahia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|