Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watu wakitengeneza
sakafu ya mbao
.
Sakafu
ni sehemu ya chini ya
nyumba
au
jengo
lingine lolote iliyotandazwa na kupigiliwa vizuri kwa kuchanganya
mawe
,
mchanga
na
simenti
. Sakafu huweza pia kujengwa kwa
mbao
.
Aina ya sakafu inategemea mahitaji ambayo yanahitajika katika
maisha
ya
mtu
. Aina kuu ni:
Kulingana na mahali ndani au nje ya majengo. kuna:
- Sakafu ya ndani
- Sakafu ya nje
Kulingana na malighafi iliyotumika kutengeneza sakafu, kuna:-
Simple English Wiktionary
Wikamusi
ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
teknolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|