Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Saar, Saarland
Mahali pa Saar katika
Ujerumani
bendera ya Saar
Saar
(
Kijerumani
: Saarland
) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya
Ujerumani
lenye wakazi milioni 1,022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni
Saarbrucken
. Waziri mkuu ni
Annegret Kramp-Karrenbauer
(
CDU
).
Saarland imepakana na majimbo ya Ujerumani ya
Rhine-Palatino
.
Miji mikubwa ni pamoja na
Saarbrucken
na
Saarlouis
.
Mto Saar
na
Mosel
ni mito muhimu zaidi.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ujerumani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Saar
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|