Sao Nicolau (Cabo Verde) ni kisiwa cha jamhuri ya Cabo Verde , katika kundi la Barlavento (yaani "juu ya upepo ").