Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marubani wa ndege ya Boeing 777 wakati wa kutua pale
Sharm-el-Sheikh
,
Misri
.
Rubani
(kutoka
Kiarabu
ː ????
ruban
; kwa
Kiingereza
ː
pilot
) ni
mtu
anayeendesha
eropleni
au chombo kingine cha
usafiri
hasa chombo cha usafiri kitumiacho njia ya
anga
.
Neno
hili hutumiwa siku hizi kumtaja hasa mwanahewa lakini kwa
asili
lilimaanisha mtu anayeongoza
chombo cha majini
.
Kazi
hii inahitaji
elimu
na maarifa maalumu, kwa hiyo kuna
sheria
na masharti mbalimbali katika nchi zote
duniani
kwa watu wanaotaka kuingia katika kazi hii.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rubani
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|