Rodney Robert Porter ( 8 Oktoba 1917 ? 6 Septemba 1985 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza . Hasa alichunguza mifumo ya kingamwili mbalimbali. Mwaka wa 1972 , pamoja na Gerald Edelman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .