Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Spagnoletto
:
Yakobo akiibia baraka ya Isaka kwa msaada wa Rebeka
(
1637
),
Prado
,
Madrid
(
Hispania
).
Rebeka
(kwa
Kiebrania
????, Rivqah) alikuwa
binamu
na
mke
wa
Isaka
ambaye, baada ya
utasa
wa muda mrefu, hatimaye alimzalia watoto
pacha
Esau
(au Edomu,
babu
wa
Waedomu
) na
Yakobo Israeli
(babu wa
Waisraeli
).
Kwa
ujanja
wake alifaulu kumfanya
mume
wake atoe
baraka
iliyokuwa haki ya
mtoto wa kwanza
kwa mdogo wake.
Anaheshimiwa kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa tarehe
23 Septemba
.
Kadiri ya
Mwa
25:19-34,
Rebeka
alimzalia Isaka watoto
pacha
wenye
sura
na
silika
tofauti,
Esau
na
Yakobo
. Wa kwanza analaumiwa hasa kwa kupuuzia baraka ya
Mungu
iliyokuwa haki ya
kifunguamimba
: kwa sahani ya
dengu
alikubali kukosa
neema
zile zote alizojitwalia Yakobo kwa
imani
yake (
Eb
12:16-17).
Mwa 27 inasimulia jinsi Yakobo, akifundishwa na mama yake, alivyoweza kubarikiwa na baba. Ingawa
uongo
wake haukubaliki (
Hos
12:3-5), Mungu alithibitisha baraka ya Isaka kadiri ya desturi yake ya kumpendelea mdogo: hivyo Yakobo, aliyekimbia nchi yake ana fimbo tu, alirudi miaka ishirini baadaye ana wake 2, masuria 2, watoto 11 na mifugo wengi ajabu (Mwa 32). Kabla hajaingia nchi yake Mungu alishindana naye usiku kucha akalazimika kumbariki na kumtajia jina jipya, Israeli.
|
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rebeka
kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|