Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'
Ralph Steinman
(
14 Januari
,
1943
?
30 Septemba
,
2011
) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya
Kanada
. Hasa alichunguza [[kinga
(tiba)|kingamwili]]. Mwaka wa
2011
, pamoja na
Bruce Beutler
na
Jules Hoffmann
, alikuwa mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
.
|
Makala hii kuhusu mshindi wa
Tuzo ya Nobel
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ralph Steinman
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|