Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Programu tumizi
, maarufu kama
Protu
(kwa
Kiingereza
:
App
), ni
programu
za
tarakilishi
zinazotumiwa hasa na
simujanja
na
saajanja
na ni tofauti na zile zinazotumiwa na tarakilishi.
Mwaka
2009
,
mwandishi
wa makala za
teknolojia
David Pogue
alisema kuwa simujanja mpya zitapewa
jina la utani
"app phones" ili kuzitofautisha na
simu
zilizotangulia.
[1]
.
Neno
"app", ambalo ni
kifupi
cha "software application", limekuwa maarufu toka wakati huo. Mwaka
2010
neno hili liliteuliwa na
American Dialect Society
kuwa "Neno la Mwaka".
[2]
Programu hizi zina manufaa makubwa kwa watumiaji wa simujanja kwa masuala kama ya
muziki
,
video
,
michezo
kama vile pokeman
[3]
,
vitabu
,
habari
,
afya
,
biashara
, n.k. Hata hivyo, protu hutumika visivyo pia kwa masuala kama vile
wizi
wa taarifa za siri, wizi wa
nywila
na
udukuzi
.
[4]
Mbinu za kubuni usanifu wa maombi ya mtandao hutumiwa. Programu ya wavuti ina sehemu za mteja na seva, na hivyo kutekeleza teknolojia ya "mteja-seva". Sehemu ya mteja inatekeleza kiolesura cha mtumiaji, huunda maombi kwa seva na kuchakata majibu kutoka kwayo.
- ↑
Pogue, David. "
A Place to Put Your Apps
",
New York Times
, November 4, 2009. Retrieved on January 22, 2013.
- ↑
"
"App" voted 2010 word of the year by the American Dialect Society (UPDATED) American Dialect Society"
. Americandialect.org. 2011-01-08
. Iliwekwa mnamo
2012-01-28
.
- ↑
Jackson, Anthony A. (2018-11-01),
"Pokemon Jupiter Rom ? The Full Story"
,
Original Console Games
(kwa American English), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2019-07-14
, iliwekwa mnamo
2018-11-29
- ↑
Wifi Hacker app
|
Makala hii kuhusu mambo ya
teknolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|