Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pofu
,
mbungu
au
mbunju
(kwa
Kiing.
eland
) ni
wanyamapori
wa
jenasi
Taurotragus
katika
familia
Bovidae
. Wanatokea
savana
zenye
miti
katika
Afrika
. Wanyama hawa ni wakubwa kuliko spishi nyingine za Bovidae za Afrika. Rangi yao ni kahawianyekundu, kahawia, hudhurungi au kijivu na mara nyingi wana milia ya wima mbavuni. Wana
ngozi
ndefu chini ya koo lao.
Pembe
zao ni ndefu kiasi, zile za jike ndefu kuliko zile za dume.
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia:
Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc
.
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Pofu (jenasi)
kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|