Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pittsburgh
au
Pittsburg
ni mji wa
Marekani
katika
jimbo
la
Pennsylvania
. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 373 kutoka
juu ya usawa wa bahari
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Pittsburgh, Pennsylvania
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|