Peter Charles Doherty (amezaliwa 15 Oktoba , 1940 ) ni mganga wa mifugo kutoka nchi ya Australia . Hasa alichunguza kingamwili . Mwaka wa 1996 , pamoja na Rolf Zinkernagel , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .