Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pesheni
(kutoka
Kiingereza
passion fruit
, kwa
Kiswahili
piaː
karakara
) ni
tunda
la
mkarakara
(au
mpesheni
),
mmea
unaotambaa ambalo ndani lina
mbegu
nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea
juisi
. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.
- Pesheni au karakara jeusi (
Passiflora edulis
forma
edulis
)
- Pesheni au karakara njano (
P. edulis
forma
flavicarpa
)
- Pesheni au karakara tamu (
P. ligularis
)
- Pesheni- au karakara-ndizi (
P. tarminiana
)
- Pesehni au karakara kubwa (
P. quadrangularis
)
-
Karakara jeusi
-
Karakara njano
-
Karakara tamu
-
Karakara-ndizi
-
Karakara kubwa
|
Makala hii kuhusu mambo ya
biolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Pesheni
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|