Paul Modrich (amezaliwa 13 Juni , 1946 ) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza jinsi ya kutibu saratani . Mwaka wa 2015 , pamoja na Tomas Lindahl na Aziz Sancar , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .