한국   대만   중국   일본 
Paul Eluard - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Paul Eluard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Eluard (1945)

Paul Eluard ( 14 Desemba 1895 ? 18 Novemba 1952 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa . Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugene Grindel . Aliandika hasa mashairi, na katika maandishi yake ya kisiasa alimsifu Stalin .

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Paul Eluard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .