Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Sisto III.
Papa Sixtus III
alikuwa
Papa
kuanzia
tarehe
31 Julai
432
hadi
kifo
chake tarehe
19 Agosti
440
[1]
. Alitokea
Roma
,
Italia
.
Alimfuata
Papa Selestini I
akafuatwa na
Papa Leo I
.
Chini yake
makanisa
mbalimbali yalijengwa
mjini
Roma
, hasa
basilika
la
Bikira Maria
lililowekwa
wakfu
kwa
Mama wa Mungu
kadiri ya sifa aliyopewa na
Mtaguso wa Efeso
(
431
). Pia alijitahidi kupatanisha
maaskofu
wa
Mashariki
(
Aleksandria
na
Antiokia
) na kutetea
mamlaka
ya
Kanisa la Roma
juu ya
Iliriko
[2]
.
Rafiki
wa
Agostino wa Hippo
[3]
, tangu kale anaheshimiwa kama
mtakatifu
, hasa tarehe ya
kifo
chake
[4]
.
WikiMedia Commons
|
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4
| | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8
| |
---|
karne ya 9 hadi ya 12
| |
---|
karne ya 13 hadi ya 16
| |
---|
karne ya 17 hadi ya 20
| |
---|
karne ya 21
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Papa Sixtus III
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|