한국   대만   중국   일본 
Papa Pius I - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Papa Pius I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Pius I.

Papa Pius I alikuwa papa kuanzia takriban 142 / 146 hadi kifo chake takriban 157 / 161 [1] . Alitokea Aquileia , Italia [2] [3] na labda baba yake aliitwa "Rufinus". [4] . Hakika alikuwa ndugu wa Herma , aliyewahi kuwa mtumwa akawa mwandishi wa kitabu maarufu " Mchungaji " [5] .

Alimfuata Papa Hyginus akafuatwa na Papa Anicetus .

Alipinga uzushi wa Gnosi hata kumtenga Marcio na Kanisa [6] [7] .

Chini yake, Yustino alifundisha katekesi mjini Roma na kupambana na aina mbalimbali za Gnosi [8] .

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu [9] .

Sikukuu yake ni tarehe 11 Julai [10] .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Tanbihi [ hariri | hariri chanzo ]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Hoever, Rev. Hugo, mhr. (1955). Lives of the Saints, For Every Day of the Year . New York: Catholic Book Publishing. uk. 263.
  3. Platina (2008). D'Elia, Anthony F. (mhr.). Lives of the Popes: Antiquity, Volume 1 . Harvard University Press. uk. 79. ISBN   978-0674028197 .
  4. Liber Pontificalis , Ed. Duchesne, I, 132.
  5. https://it.cathopedia.org/wiki/Papa_Pio_I
  6. Delaney, John J. (2005). Dictionary of Saints (toleo la 2nd). New York: Image/Doubleday. ISBN   0-385-51520-0 .
  7. https://it.cathopedia.org/wiki/Papa_Pio_I
  8. "The Martyrdom of Justin" . New Advent .
  9. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61850
  10. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum , Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo [ hariri | hariri chanzo ]

  •  This article incorporates text from a publication now in the public domain Herbermann, Charles, ed. (1913). " Pope St. Pius I ". Catholic Encyclopedia . Robert Appleton Company.
  • "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, pp 511

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: