Papa Klementi V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Klementi V.

Papa Klementi V ( 1264 ? 20 Aprili 1314 ) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Juni / 14 Novemba 1305 hadi kifo chake [1] . Alitokea Villandraut , Ufaransa [2] .

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Got .

Alimfuata Papa Benedikto XI akafuatwa na Papa Yohane XXII .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Tanbihi [ hariri | hariri chanzo ]

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari .