Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Benedikto IX
(
1012
hivi ? mwishoni mwa
1055
au
Januari
1056
) alipata kuwa
Papa
mara tatu: ya kwanza tangu
Agosti
/
Septemba
1032
hadi
Septemba
1044
, ya pili tangu
10 Machi
hadi
1 Mei
1045
, na ya tatu tangu
Oktoba
1047
hadi
Agosti
1048
[1]
.
Jina
lake la kuzaliwa lilikuwa
Theophylactus
wa
ukoo
wa
watawala
wa Tusculum,
Roma
,
Italia
[2]
..
Alimfuata mara ya kwanza
Papa Yohane XIX
, ya pili
Papa Silvester III
, na ya tatu
Papa Klementi II
.
Kila mara alifukuzwa
madarakani
kwa sababu ya matendo yake maovu
[3]
ila mara moja aliuza
cheo
chake, tendo la pekee kabisa katika
historia ya Kanisa
[4]
.
Hatimaye alifuatwa na
Papa Damaso II
[5]
.
|
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4
| | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8
| |
---|
karne ya 9 hadi ya 12
| |
---|
karne ya 13 hadi ya 16
| |
---|
karne ya 17 hadi ya 20
| |
---|
karne ya 21
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Papa Benedikto IX
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|