Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Panagia
(kutoka
Kigiriki
: Παναγ?α,
Mtakatifu kabisa
) ni
jina
la
heshima
kwa
Bikira Maria
,
mama
wa
Yesu
, linalotumika hasa katika
Ukristo wa Mashariki
. Linasisitiza
utakatifu
wake uliozidi ule wa
binadamu
wengine wote, isipokuwa
Mwanae
.
Jina hilo linatumika pia kwa aina maalumu ya
picha takatifu
za
Mama wa Mungu
zinazomuonyesha akisali huko akimuelekea mtazamaji kama uso kwa uso na kuwa na Mwanae amechorwa katika
duara
kifuani
mwake
[1]
.
- ↑
Great Panagia, History of Russian Painting, by Boguslawski
- The Blackwell Dictionary of Eastern Christianity
, p. 368 (ISBN|0-631-23203-6)