Pambo ni tamthiliya iliyoandikwa na mwandishi Mtanzania Penina Muhando na kutolewa mwaka wa 1975 . Kitabu hiki kimesomwa na wengi. Hakika kimeandikwa kwa umakini mkubwa sana.