Palantolojia (kwa Kiingereza "Paleontology"; kutoka maneno ya Kigiriki : παλαi?? palaios ≪ya kale≫, ?ν ?n (genitive ?ντο? ontos) ≪kiumbe≫ na λ?γο? logos ≪somo≫) ni fani ya sayansi inayochunguza masalio ya viumbehai katika miamba kama mwongozo wa historia ya uhai duniani .