Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pablo Aimar
Pablo Aimar
(alizaliwa
3 Novemba
1979
) ni
mchezaji
wa
mpira wa miguu
wa zamani na sasa ni
kocha
wa
timu
ya mpira wa miguu ya
vijana
wa miaka 17.
Alikuwa
mshambuliaji
wa
timu ya taifa
ya
Argentina
, akiwakilisha
taifa
katika
Kombe la Dunia la FIFA
mara mbili na mashindano mawili ya
Copa America
.
Alianza kucheza mpira mnamo mwaka
1996
. Pablo Aimar alipata kofia 52 kupitia timu yake ya Argentina.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Pablo Aimar
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|